Soka Premier

Pata Matokeo, Ratiba na Taarifa za Mechi Zote za Ligi Zote Tanzania.
Lebotech
Download Soka Premier APK
Rating 4
Category Sports
Package name sokaskore.apyby
Downloads 5+
Soka Premier Description
SokaSkore ni App inayokupatia nafasi ya kuweza kupata taarifa za mechi zote za michuano mbalimbali nchini Tanzania kama vile:
✔ Ligi Kuu Bara (NBC Premier League)
✔ Ligi Kuu Zanzibar (PBZ Premier League)
✔ Azam Sports Federation Cup
✔ Mapinduzi Cup
✔ Women's Premier League
✔ First Division League
✔ Michuano ya Kimataifa

Vilevile kupitia SokaSkore utaweza kupata taarifa mbalimbali kama vile:
1. Habari za Michezo na Tetesi za Usajili
2. Orodha ya Vikosi Vinavyoanza
3. Matokeo Mubashara
4. Misimamo ya Ligi Zote za Ndani
5. Wasifu wa Wachezaji
6. Taarifa za Timu
7. Vinara wa Magoli
8. Video Fupi za Mechi Zilizochezwa (Highlights)
9. Mechi Mubashara

Download App Hii Ili Uweze Kufurahia Burudani ya Mpira.

Open up
Download APK for Android
Currently, Soka Premier APK download is not available. Please proceed to download from the Google Play Store.
Google Play
Soka Premier is temporarily not supported for download from Google Play. You can directly download the APK from this page.
Soka Premier APK FAQ

Is Soka Premier safe for my device?

Open up

What is an XAPK file, and what should I do if the Soka Premier I downloaded is an XAPK file?

Open up

Can I play Soka Premier on my computer?

Open up

Search Recommendation

Program Available in Other Languages